The world of mesut oźil
Wakati dunia ya leo kama ukimuuliza mtu akutajie viungo bora aliowahi kuwashuhudia atakutajia iniesta,xavi,modric, KDB au Pogba n.k lakini kuna mtu mmoja asikiki sana masikioni mwa watu ni moja kati ya viungo na kipaji bora kabisa yani kuwahi kuubariki mpira barani ulaya na huyu si mwingine ni Mesut ozil Mesut ozil ndie mchezaji pekee duniani katika historia ya mpira wa miguu kuwa Top assist katika premier league,akiwa na klabu ya Arsenal,Top assist Bundesliga akiwa na klabu ya Werder Bremen,Top assist la Liga akiwa na Real Madrid,Top assist Champions league akiwa na Real Madrid,Top assist Europe league akiwa na Arsenal,Top assist EURO CUP akiwa na German na Top assist World cup akiwa na German national team Mesut ozil ni mchezaji ambaye watu hawamzungumzi sana lakini ameonesha ubora mkubwa sana ambao ulimfanya kila mtu atamani kuwa nae kwenye timu, Mesut ozil amefanikiwa kubeba German cup DFB-pokal akiwa na Werder Bremen kwa kuwafunga Bayern Leverkusen,pia ametwaa C...